Jumatano, 22 Oktoba 2014

wema sepetu's abaya look.

katika mavazi ambayo yanampendrza mtu mrefu mostly ni mavazi marefu.Dada wema sepetu alitokea kupendeza sana mwishon mwa wiki iliyopita na vazi lake la abaya.eapecially ile texture na rangi ya nguo ilikia perfect.i really liked the outfit...

more pics
on pozz.great outfit

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni