fasion inahusu mpangilio mzima wa maisha ya mtu.kuanzia mavazi,vyakula,malazi n.k
Hyo ndo inatafsirika km lifestyle ya mtu.
hasa inavotaki ni mtu kuwa nayo hayo yote katika usahihi.kuvaa vzuri haijalishi mpaka uvae uchi.vyovyote ujipangiliavyo mtu unaweza kupendeza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni