kuogelea ni moja ya mazoezi mazur kwa afya ya binadamu.Pia inasaidia kuondoa stress au msongo wa mawazo kwa wengi wetu.Inaleta refreshment ya akili na mwili.Ni vzuri km mtu angekuwa andeaturi ya yeye na familia yake kupata mda wa haa masaa matatu kwa wiki au mawili ili kurefresh mwili kwa kuogelea ni nzur jwa afya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni