Mavazi ya suit au nguo nyingine mfano wa hizi kwa kina mama yameonekana yakikubalika sana katika sehem zenye heshma .mfano.maofsini,kwenye mikutano mbalimbali inayohusu siasa au nchi,pia kwa mitoko ya kawaida ya binafsi unaweza pia kuvaa kama hvyo.
Mavazi haya ni katika mavazi ambayo yanafaa kwenda nayo kokote kwenye heshma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni