Alhamisi, 23 Oktoba 2014

Diamond na Yamo....

Wasanii wa muziki Diamond platnumz na yamoto band wanatarajiwakutumbuiza katika aiku ya msanii tz itakayofanyika sku ya tarehe 25 october mwaka huu pale mlimani city mall.Wasanii hao watasindikizwa na wasanii kutoka Kenya ,Miss Tanzania 2014,Miss universe na wengineo.

Mgeni rasmi ni mheshimiwa Makamo wa rais Dr Ghalib Bilal.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni