Mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya Mudio afariki dunia siku ya ijumaa katika bwawa lililopo moshi na kuonekana cku ya jumatatu.Wanafunzi hao walitoroka shule na kwenda kuogelea katika bwawa hilo ambapo wanafunz wengne walimsukuma mmoja wa wanafunzi aitwae Karim na kuzama.

Picha zaidi za mcbani walikuwemo dada yake mkubwa na ndugu wengine wengi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni