Jumanne, 21 Oktoba 2014

LIFESTYLE

Watu wengi huwa wanadhani mtu kuwa katika style flani ya maisha au kujipenda ni mpaka uwe na pesa,la hasha.Mtu anaweza asiwe na chochote ila akaamua kujipenda kwa kila kitu kinachomzunguka.
Style yako ya maisha ndo itakayokutambulishakatika jamii kuwa ww ni mtu wa aina gani.(your appearance describea you more).
Jambo amabalo pia linashindwa kueleweka ni kwamba fasion sio kwa kina dada au kina mama peke yao kama ilivo katika fikra za wengi.Hii inajumuisha binadam wote walio hai kwa ujumla.

Kwny lifestyle ya mtu inahusisha mambo meng sana.mfano mavazi anayovaa .appearance ya mtu katika mavazi kila cku inatoka kumtafsiri mtu huyo ni wa aina gani.Hasa mtu anapovaa mavazi yasio na maadili ya kitanzania au yenye maadili.

Pili ni mahali anapoishi.mtu anaejipenda atahakikisha mahala anapoishi panakuwa pazur na nadhifu wakati wowote.Haijalishi sehem qnayoiahi ni kubwa au ndogo bali pakitunzwa kwa umakini panaweza kuwa penye muonekano mzuri kuliko mwenye hekalu kubwa lisilo na matunzo.kidogo ulichinacho unatakiwa ukipende ndo utakiona thaman yake.

Tatu ni vyakula tunavyokula.kuna watu na mipango yao ya maosha tafauttafauti.mwengine anakula mavyakula mengi kutokana na uwezo wake na mwengne hapati hicho kikubwa kutokana na uwezo wake.Cha msingi kinachoangaliwa co wingi wa chakula bali ni ubora wake.Kwanza cku hizi vyakula vingi vinasababsha maradhi ya moyo,presha,kisukari n.kKinachohitajika ni mpangialio wa vyakula kuanzia unapoamka mpaka unapolala(diet).Anatakiwa achanganye aina tofauti km cabohydrates kidogo,protein kwaajili ya ukuaji,vitamins kwa sana maji mengi.n.k.So hili ni jambo la kuzingatia sana katika mlo wa binadam kutwa nzima .Na hyo ndo inakua lifestyle yako.

Maoni 1 :