Mavazi haya yameonekana yakirudi kwa kasi kubwa sana nchi Tanzania.Kitenge ni vazi ambalo unaweza kwenda nalo sehem yoyote iwe kazin au kwenye shughuli mbalimbali.

makenzi au madashiki

Mwanadada huyu ajulikanae kama Jaquline Wolper ameonekana akiyatendea haki mavazi haya.
Pongezi sana kwa mwanamitindo wake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni