Mshindi wa shindano la miss universe ni carolyne Benard kutoka Dar es salaam.
Mrembo huyu ameopoa taji hilo jana Tanzania.
Ijumaa, 31 Oktoba 2014
MISS UNIVERSE CAROLYNE BENARD.
Alhamisi, 23 Oktoba 2014
Diamond na Yamo....
Wasanii wa muziki Diamond platnumz na yamoto band wanatarajiwakutumbuiza katika aiku ya msanii tz itakayofanyika sku ya tarehe 25 october mwaka huu pale mlimani city mall.Wasanii hao watasindikizwa na wasanii kutoka Kenya ,Miss Tanzania 2014,Miss universe na wengineo.
ABAYA TREND.(MADISHDASH)
Hizi ni aina ya nguo au magauni ambayo yanatengenezwa kwa vitambaa vyepesi vyenye urembo mwingi.
Nguo hizi huvaliwa sehem tofauti ila mara nyingi kwenye harusi au sherehe za kidini (kiislam)pia zinaweza kuvaliwa kwenye mitoko ya ucku (dinner).
VITENGE(LONG DRESSES AND COATS)
Mavazi haya ya vitenge ni yenye ubunifu wa aina yake na hupendeza katika macho ya yule anaekutazama wakati umevaa mavazi hayo.Unaweza kushona nguo za aina mbalimbali mfano suruali.gauni.koto.shati.pensi n.k
OFFICIAL LOOK.
SHORT DRESSES AFRICAN PRINTS(VITENGE)
CHANJO KWA WATOTO NA WAKUBWA
Wazazi wanashauriwa kuwapeleka watoto wao kwenye vituo vya afya kupata chanjo kwaajili ya kinga.Tembelea kituo cha afya kiliko karbu yako.
Kwa wazazi nao kuna chanjo za matende,mabusha,na minyoo.inashauriwa ni muhim kwa afya yko.
Jumatano, 22 Oktoba 2014
BIRTHDAY PARTY YA WEMA SEPETU
Katika birthday zlizokuwa funga mwaka ni ya madame.naomba ujionee mwenyewe ilkua shidda....