Model maarufu nchini ambaye sasa ni msanii wa filam Hamisa Hassan akataa kuolewa kwa sasa asema yeye bado mdogo.ataka ale kwanza ujana.
Alipoohojiwa na mwandishi wwtu alisema kwamba 'mimi bado mdogo sana sina haja ya kuharakia ndoa na wala sitarajii kuolewa kwa sasa."
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni