Ijumaa, 7 Novemba 2014

MODEL WA TANZANIA HAMISA HASSAN MOBETTO AKATAA SUALA LA KUOLEWA.

Model maarufu nchini ambaye sasa ni msanii wa filam Hamisa Hassan akataa kuolewa kwa sasa asema yeye bado mdogo.ataka ale kwanza ujana.

Alipoohojiwa na mwandishi wwtu alisema kwamba 'mimi bado mdogo sana sina haja ya kuharakia ndoa na wala sitarajii kuolewa kwa sasa."

Jumanne, 4 Novemba 2014

EVENING DRESSES.(MAVAZI YA UCKU)

Mwanamke anatafsirika vyema kwa vazi lake la jioni.Hasa kunapotokea sherehe mbalimbali vazi atakalolivaa yeye ndo litakalomtafsiri kama anakwenda kwa wakati,mbunifu,anajua kuvaa,au hajui kupangilia nguo.Kina dada wengi humaliza masaa yao kuindaa nguo ya mda huo tafauti na mda mwingine.

nargis mohammed on her outfit.
THESE DRESSES ARE ALWAYS ON STANDARD AND PRESENTABLE.LOVELY AND UNIQUE ACCORDING TO HOW YOU DESIGN IT ON A SPECIAL OCCASION.
jacquline wolper on her evening dresses.
MOST OF EVENING DRESSES ARE LONG.
lulu or elizabeth michael did justice to this dress.
fadyaisac always rocks in the eveng outfits.
qudratfasionable always fasionable in her outfits.

HIJAB FASIONS

Hijab is an arabic word meaning cover of the body.An arabic culture and islamic culture is to wear hijab.Hijab is not only about covering the head and leaving the body naked.hijab covers everything it doesnt matter if you wear a dress,skirt,trouser etc.

diiferent designs and syles on how to wear hijab.
 u will always look beautiful and respectable.
mashallah.A woman can still look beautiful even when shez in her stara.
Scarf with trouser looks absolutely gorgous.